Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 19, 2011

Taarifa kwa Wananchi wote wa Mkoa wa Mbeya juu ya uvumi kuhusu jiji kuwaondoa wamachinga


Ndugu wanahabari na wananchi Mbeya,
Kuna UVUMI umejitokeza jioni ya jana kuwa Halmashauri ya Jiji inakusudia kufanya operesheni ya kuwaondoa wamachinga kuanzia Leo hii, Nakanusha kuwa Taarifa hizo ni za Uzushi MTUPU. Nawaomba wananchi na wamachinga wote kuendelea na kazi kama kawaida. Hivi sasa Jiji linaendelea kuongea na wamachinga wenyewe kupitia viongozi wao kuhusu namna bora ya kuwapanga wamachinga wasipanic. 
Imetolewa na Mkurugenzi wa Jiji Mbeya

1 comment:

B56, Bplus, The big dad said...

Ahsante! nimeipata na kui-forward radioni Cyprian mwageni (B56-Bplus)
Gfm