Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, November 30, 2011

RAIS KIKWETE ATIA SAINI MUSWADA WA SHERIA YA MABADILIKO YA KATIBA YA MWAKA 2011


TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumanne, Novemba 29, 2011, ametia saini Muswada wa Sheria ya

RMabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011.

Hatua hiyo ya Mheshimiwa Rais kutia saini Muswada huo inakamilisha safari
ilishwa na Serikali katika kikao
kilichopita cha Bunge.
Aidha, kutiwa sain
ya kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011 baada ya Bunge
kuwa limepitisha Muswada huo uliowa
si kwa Muswada huo ili uwe Sheria ni hatua kubwa na muhimu
katika safari ya kutungwa kwa Katiba mpya ya Tanzania kama ilivyoahidiwa na
erikali itaendelea kusikiliza maoni na
mawazo ya wadau na wananchi mb
Mheshimiwa Rais Kikwete katika salamu zake za Mwaka Mpya kwa wananchi
Desemba 31, mwaka jana, 2010.

Pamoja na kutiwa saini hiyo bado
Salimbali kuhusu namna ya kuboresha sheria
hiyo.

Hivyo, Mheshimiwa Rais Kikwete anatoa wito kwa mwananchi yoyote mwenye
maoni ama mawazo ya namna ya kuboresha Sheria hiyo, ajisikie yuko huru
kutoa maoni yake na Serikali itasilikiza na kuchukua hatua zipasazo.

*Imetolewa na*:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,

Ikulu,

*DAR ES SALAAM*.

29 Novemba, 2011

No comments: