Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, November 12, 2011

LIVE! Kikao kinaendelea kati ya Serikali na wamachinga Mbeya

Kikao Kimeisha
Ulinzi waimalishwa zaidi Wakati wa Mkutano

Mkuu wa wilaya akiwa amekaa baada ya wananchi kukataa kumsikiliza
Muheshimiwa Joseph Mbilinyi akihutubia 
Mkuu wa Wilaya Kushoto wakiwa na Muheshimiwa Joseph Mbilinyi 
Kikao Kimeanza sasa watu ni wengi sana Mh. Joseph Mbilinyi anahutubia sasa..
Wanainchi wakiwapokea viongozi kwa Shangwe 
Picha na Stanslaus yupo kwa tukio sasa endelea kufuatilia

2 comments:

kumshantel said...

kazi ipo.

Anonymous said...

Hatima yake ilikuwa ni nini?