Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, November 30, 2011

KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 56 YA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA UHURU YAFANA MBEYA

Waziri mkuu Mizengo Pinda akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya miaka 56 ya jumuiya ya wazazi Tanzania na maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru jijini mbeya
Waziri mkuu akikaribishwa na mkuu wa mkoa Mbeya Abasi Kandoro mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege Mbeya
Naye mwandishi wa habari wa gazeti la majira Chares Mwakipesile alisalimiana na waziri mkuu
Waziri mkuu Mizengo Pinda akipokea maandamano ya wazazi na wanafunzi waliyohudhuria sherehe hizo
Baadhi ya wazazi na waalimu wakipita mbele ya mgeni rasmi
Wanafunzi wa shule mbalimbali za mkoa wa mbeya  wakipita mbele ya mgeni rasmi

No comments: