Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, November 11, 2011

BREAKING NUUZ: Polisi wapiga Risasi wananchi Mbeya washindwa tuliza Vurugu.. Sasa zimefika uyole wananchi wanashusha Bendera za CCM

 majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo hii akiwa kapigwa kichwani. Hadi sasa kuna majeruhi wanne wa risasi, wawili kichwani, mmoja kwenye paja na mwingine mkononi
Mmoja wa majeruhi wa risasi za polisi katika vurugu za Mwanjelwa leo, Abel Mwalukali akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Mbeya baada ya kupigwa risasi kwenye mkono.
Hali Badi ni Mbaya sana Kumefuka 

3 comments:

Anonymous said...

jamani hii ni vita au, polisi risasi za moto za kazi gani kwa wananchi wasio na hatia?

Anonymous said...

jamani..nini hiki sasa?
tanzania yetu..loooh!!!

Anonymous said...

so sad,God bless my home