Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, November 10, 2011

BARABARA YA KYELA KWENDA BUJONDE NA LUBAGA YAANZA KUTENGENEZWA

Hii ni barabara ya kwenda Bujonde mpaka ziwa nyasa ikiwa kwenye hatua za mwisho kukamilika
Hili ni daraja dogo eneo la Lubaga likiendelea kukamilishwa kabla mvua hazijaanza
Watoto wa bujonde wakifurahia kuona Gari hakika wana Bujonde sasa kipato chao kitaongezeka 
Kabla barabara haijatengenezwa hali ilikuwa hivi

1 comment:

Anonymous said...

asante kwa kutuhabarisha. keep it up, mdau dsm