Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, October 17, 2011

WAZIRI NYALANDU ATEMBELEA KIWANDA CHA BAKHRESA KUONA UZALISHAJI CHAKULA
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Lazaro Nyalandu akizungumza alipotembela kiwanda cha nafaka cha Buguruni Flour Mills, cha Kampuni ya Said Salim Bakhresa & Co Ltd, leo. Kulia ni Meneja Mkuu Msaidizi Saidi Salim Bakhresa & Co Ltd hussein Ally
Nyaladu akionyeshwa moja ya hatua za uzalishaji unga wa ngano katika kiwanda hicho leo. Anayemuonyesha ni Msimamizi wa uzalishaji wa Kiwanda hicho, Patrick Muriuki.

No comments: