![]() |
| Vijana ambao hawakuweza kujulikana majina yao wakianza kuzichapa kavukavu kisa sh 500 wanaodaiana |
![]() |
| Sasa wamekamatana na kutwangana makonde |
![]() |
| Jamaa wakijaribu kuwaamulia na inashindikana |
![]() |
| Pambano linaendelea |
![]() |
| Jamaa washatumbukizana kwenye mtaro |
![]() |
| Ugomvi hauishi nimeamua kuendelea na safari yangu |






No comments:
Post a Comment