Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Isanga jijini Mbeya Bwana Tenson Mtafya akionesha kadi ya uanachana ambapo alichukua fursa ya kujiuzulu na kukitaka chama hicho, kuwaondoa watendaji wabovu katika kata hiyo na kupinga vikali tuhuma zilizoelekezwa kwake pamoja na Mwenyekiti wa chama hicho kuwa walihusika kumdhalilisha mwenyekiti wa mtaa wa Igoma "A" Bwana Juma Kahawa hali iliyopelekea Bwana Kahawa kuwafikisha mahakamani na kutonzwa faini ya shilingi elfu 80 na bila kupewa stakabadhi ya malipo hayo mahakamani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment