Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, October 3, 2011

Taifa kuombewa

Askofu wa Kanisa la Good News For All la jijini Dar es Salaam, Ask. Charles Gadi akifafanua jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya Kanisa hilo kuandaa mkutano mkubwa Oktoba 6, mwaka huu kwaajili kuliombea taifa utakaofanyika katika Viwanjavya Biafra. Mkutano huo utahusisha viongozi wadini na madhehebu mbalimbali.

No comments: