Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, October 17, 2011

Rais Wa Zanzibar Dk Ali Shein Atembelea Maonyesho ya Bidhaa Mbalimbali za Vikundi Vya Ushirika vya Akinamama Katika Viwanja Vya Salama Bwawani


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akiangalia maonesho ya bidhaa mbalimbali za vikundi vya ushirika vya akina mama,katika viwanja vya Salama Bwawani Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza vikundi hivi katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC uliomalizika jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,akipata maelezo kutoka kwa Saida Ali Mohamed wa Wizara ya Ustawi wa Jamii,maendeleo ya wanawake na watoto,alipotembelea maonesho ya bidhaa mbali mbali za vikundi vya ushirika vya akinamama,katika viwanja vya Salama Bwawani Hoteli,ikiwa ni njia moja ya kuvitangaza vikundi hivi katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC uliomalizika jana
Rais wa Shirika la African Investiment Corporation,pia mtendaji mkuu kutoka Marekani,Daniel Anagho,akitoa mada inayohusu Masuala ya utalii,katika mkutano wa Baraza la Biashara la Zanzibar,ZBC uliomalizika jana katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman Ikulu-Zanzibar

No comments: