Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, October 23, 2011

Dk Migiro na Mama Pinda

Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mtaifa, Dk. Asha-Rose Migiro (kulia) akiwa na mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda katika sherehe za kilele cha Miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam zilizofanyika Chuoni hapo, Mlimani jijini Dar es salaam leo

No comments: