Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, September 9, 2011

VIBAKA MAARUFU IRINGA WANASWA MCHANA HUU WAKIKWAPUA MIYOMBONI.....

Vijana ambao ni vibaka eneo la Miyomboni (katikati) wakiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi baada ya kukamatwa nje ya ofisi za gazeti la Mwananchi Miyomboni kwa wizi wa simu
Vijana wawili wanaosadikika kuwa ni vibaka maarufu katika eneo la stendi la daladala Miyomboni mjini Iringa wakiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kukwapua simu ya mwanamke mmoja eneo hilo mchana huu na kunusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali

No comments: