Huu ni uzembe wa wazi wazi wa madereva wakati wakigombania kuwahi abiria eneo la BP katikati ya jiji la Mbeya. Kamanda wa Polisi Advocate Nyombi twakuomba ujaribu kuangalia uhalali wa Leseni za madereva kama ni sahihi kwa sababu sasa yakithiri.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment