![]() |
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wakiwasili pamoja na mwili wa marehemu katika eneo la maziko ambapo Mwili wake ulilazwa katika makaburi ya Saba saba jijini Mbeya. Mazishi yamefanyika Jumamosi |
![]() |
Hapa ndipo ibada ya mwisho ya mzee Lumage Fashion ilipofanyika katika kanisa la House of Player lilipo eneo la Uwanja wa Ndege Mbeya |
![]() | |
|
![]() |
Mhariri mkuu wa Blog ya Mbeya yetu Joseph Mwaisango na Mkewe wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Mkwe wake mzee Fungo |
![]() |
Binti wa marehemu Amina Fungo akiwa na Mmewe wakiweka shada la maua kwenye kaburi |
![]() |
Umati uliohudhulia kumsindikiza mzee fungo |
![]() |
Raha ya MILELE umpe ee bwana |
1 comment:
Poleni sana wafiwa..Mungu alitoa na Mungu amechukua. Sisi tulimpenda lakini Mungu baba amempenda zaidi
Post a Comment