Gari dogo kama inavyoonekana hapo ilipoteza mwelekeo usiku wa kuamkia leo baada ya kugongana na gari nyingine ambayo ilitooweka muda mfupi baada ya kutokea kwa ajali hiyo, lakini bado kumekuwepo kwa tabia ya kung'olewa kwa namba za usaajili kwa lengo la kupoteza ushahidi.
Ajali hii imetokea eneo la Soweto jijini Mbeya na ambalo lilikuwa na abiria watatu ambao wamejeruhiwa na kukimbizwa katika Hospitali ya Rufaa mkoani Mbeya.
1 comment:
Sawa tu waache waendelee kugongana maana taratibu za uendeshaji wa magari wanashindwa kuzifuata
Post a Comment