Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, September 15, 2011

MWENDESHA PIKIPIKI AGONGA ROLI KWA NYUMA NA KUFA PAPO HAPO JANA USIKU MKOANI MBEYA

Mwili wa marehemu Mtua mkazi wa njia panda ilomba ukiwa umelala barabarani  mara baada ya kuligonga Roli hilo kwa nyuma  lililo egeshwa pembeni ya barabara ya Mbeya Iringa eneo la njia panda ilomba mkoani Mbeya ajali hiyo imetokea majira ya saa tatu na nusu usiku
Hii ndiyo pikipiki aliyokua akiendesha marehemu mtua  nyuma ya pikipiki ni mwili wa  mtua
Wananchi wenye hasira kali wakimshtumu Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Mbeya
RTO  Mr Mgeni kuwa ajali hiyo imesababishwa na wanausalama wenyewe kwani  Roli hilo limeharibika hapo barabarani toka saa tano asubuhi bila kuweka alama yoyote huku wanausalama wakilipita roli hilo bila kuchukua hatua yoyote


Mke wa marehemu  Mtua akilia kwa uchungu mara baada ya kuuona mwili wa marehemu mumewe
Wakazi waeneo la njia panda ilomba ambako marehemu alikua akiishi wakiwa na huzuni huku  wakiwa hawaamini kilichotokea
Mwili wa marehemu mtua ukibebwa kuingizwa katika gari ya polisi 

No comments: