Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, September 5, 2011

Mh Pinda katika sherehe za kumweka wakfu Askofu Mahimbo William Mndolwa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mke wa Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Tanga, Frida Mdolwa katika sherehe za Kumweka wakfu Askofu wa Dayosisi hiyo, Mahimbo William Mndolwa (katikati) zilizofanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Korogwe
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Valentino Mokiwa (kulia) katika Ibada ya kumweka wakfu Askofu Mahimbo William Mdolwa (kushoto ) wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Tanga iliyofanyika kwenye viwanja vya Chuo cha Ualimu cha Korogwe
Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglican nchini, Valentino Mokiwa (kati) akiangalia wakati Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akizungumza na Askofu Mahimbo William Mdolwa .
Picha na mdau Hilary Bujiku wa Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments: