| Soko la mwanjelwa eneo la sido mbeya lawaka moto chanzo mapaka sasa hakijajulikana |
| Moto mkubwa ukiendelea kuwaka |
| Baadhi ya mabanda sokono hapo tayari yameteketea kabisa na moto |
| Kama kawaida kikosi cha zimamoto mbeya kimeendelea na maigizo yake ya kuja kwenye tukio na gari bovu hapa wanaonekana askari wa kikosi hicho wakibishana huku moto ukiendelea |
| Kufa kufaana kibaka tayari ameshaiba huyooo anatimka |
| Dada nae hayuko nyuma katika wizi keshachukua kapeti |
| Umati wa watu ukiwa unaangalia soko linavyoteketea |
| Mama huyu akilia kwa uchungu akiangalia duka lake likiteketea kwa moto |
| Hii ni hatari |
2 comments:
Mungu awape nguvu wote waliopatwa NA JANGA HILI...
Sasa chanzo cha moto huo ni nini?
Post a Comment