Mitambo iliyowasili leo na kazi ya kuifunga itatarajiwa kuanza hivi karibuni. Akielezea zaidi kuhusu ujio wa mitambo hiyo ya Aggreco, Badra alisema kuwa hii ilikuwa ahadi ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, alipokuwa akiwasilisha bajei ya wizara yake Bungeni hivi karibuni. Mipango mingine ya kumaliza mgao wa umeme ifikapo Disemba mwaka huu ni pamoja na kutumia mitambo ya Symbion yenye uwezo wa kuzalisha Megawati 112, na mitambo ya Jacobsen inayoendelea kufungwa hatua inayoipa Tanesco uhakika wa kumaliza kero ya mgao wa umeme mwezi Disemba mwaka huu
Saturday, August 13, 2011
TANESCO yakamia kumaliza mgao wa umeme nchini ifikapo desemba mwaka huu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment