Moja ya sehemu ya Mtaa wa Simike Jijini Mbeya.
Wafanyabiashara wa soko la Simike jijini Mbeya wameiomba halmashauri ya jiji kuuangalia upya uamuzi wa kulihamisha soko hilo kutokana na eneo lilotengwa kuwa mbali na makazi ya watu.
Mmoja wa wafanyabiashara hao OSTAZ HAMILI wamesema kutokana na umbali uliopo kutoka eneo la soko jipya na makazi ya watu itawawia vigumu kuwapata wateja.
Naye mwenyekiti wa mtaa wa Simike bwana JOHN MANGASI amesema yeye atatekeleza maagizo yaliyofikiwa na uongozi wa halamshauri ya jiji na kuwataka wafanyabiashara wa soko hilo kutumia busara kupeleka maombi yao kwa uongozi badala ya kutumia nguvu.

No comments:
Post a Comment