Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 31, 2011

SERIKALI JIJINI MBEYA TAZAMENI HILI JAMANI KUNUSURU MAGONJWA YA MLIPUKO NA AMBUKIZI


Dampo hili ni hatari kwa wanafunzi kwani lipo jirani na Hospitali ya Uhai Baptist na  Shule ya Msingi Mwenge, eneo la Soweto jijini Mbeya kwani watoto wamekuwa wakikusanyika na kuokota mazagazaga kibao kama Nyembe ambazo huokota kwa ajili ya kukatia kucha na kuchongea Penseli, Nywele na Masalia ya vyakula.

Eneo hili ki ukweli limekithiri kwa uchafu haifahamiki takataka huzolewa saa ngapi kwani wakati wowote ukipita hakuna unafuu

No comments: