Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, August 14, 2011

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya Marehemu Luteni Jenerali Silas Mayunga


Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama na Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la Maua Kwenye kaburi la marehemu Luteni Jenerali Silas Mayungamuda mfupi baada ya kukamulika kwa mazishi Mjini Maswa jana
Maofisa kutoka Jeshi la Wananchi wakishusha jeneza lililobeba mwili wa marehemu Luteni Jenerali Silas Mayunga kaburini katika mazishi yake yaliyofanyika mjini Maswa tarehe 12.8.2011.


No comments: