Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, August 2, 2011

OFA YA NANE NANE NA RAMADHANI KUTOKA TONE INTERNET RADIO KWA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA...!!!

Ni msimu wa Nane nane na Mfungo wa Ramadhani.. Tone Internet Radio inawaletea ofa Maalum kwa makampuni yote Yaliyopo Tanzania kutangaza Biashara zenu Bure kabisa kwa muda wa Mwezi mzima. Matangazo yawe ya aina mbili aina ya Picha yani Jpg na matangazo ya sauti, ofa hii maalum itakwenda mpaka tarehe 29.08.2011, wahi sasa nafasi ni yako. Tutumie Tangazo kupitia toneinternetradio@yahoo.com



Sikiliza TONE INTERNET RADIO live kupitia 





No comments: