| Afande maira akimkabidhi mshindi wa pili mpira pamoja na jezi nahoda wa timu ya Kalongwe |
| Timu ya ILEMI katika picha ya pamoja mabingwa wa Mastala cup |
| KALONGWE washindi wa pili Mastala cup |
| Juma Mwambusi moja wa makocha wakongwe akiongea na wachezaji wa timu zote mbili kabla ya mechi kuanza katika kiwanja cha shule ya msingi Mwenge jijini Mbeya |
| Mashabiki wa Ilemi wakishangilia ushindi wa timu yao |
| Mashabiki wakiwa makini kumsikiliza mgeni rasmi |
No comments:
Post a Comment