Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Wednesday, August 24, 2011

HOFU YA KUPIMWA UGONJWA WA UKIMWI,KASWENDE NA.......... IMETANJWA KUWA NI KIKWAZO KWA WANANCHI MKOANI MBEYA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Mbeya Mjini picha na Fredy Tony Njeje
Hofu ya kupimwa ugonjwa wa UKIMWI, kaswende, kisonono pamoja na homa ya ini imetajwa kuwa kikwazo kwa wananchi mkoani Mbeya kuchangia damu salama kwa hiari.


Hayo yameelezwa na Dakta Barima Lelo wakati wa mahojiano na bomba fm ofisini kwake kuhusu mpango wa uchangiaji wa damu salama. 

Dakta Lelo amesema wahitaji wa damu salama wamekuwa wakiongezeka kila siku huku idadi ya wachangia wa damu salama ikipungua hali inayopelekea kituo hicho kushindwa kutoa huduma yake kikamilifu.

No comments: