Wananchi wakiangalia gari aina ya Toyota Pick up T 954 AFU lilivyoharibika baada ya kugongwa na lori la mizigo aina Fuso yenye T 279 ACL, na kusababisha kifo cha aliyekuwa diwani wa kata ya Hai Mjini mwaka 2005 hadi 2010, Ombaeli Lema, na mkewe Ruth Oronu, ilyotokea kata ya Mose Wilayani Hai
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment