NI MUDA SI MREFU SANA LIBENEKE LIMEPOKEA TAARIFA KUWA WANANCHI KATA YA BOMBA MBILI KATA YA MWAKIBETE JIJINI MBEYA WANATAKA KUANDAMANA KUTOKANA NA SAKATA LA MAJI KUTOTOKA ENEO HILO KWA MWEZI MZIMA SASA NA CHA KUSHANGAZA ZAIDI WAMEPELEKEWA BILI KUBWA YA MAJI KUANZIA TSH 4000 MPAKA 10000 WAKATI WALIKUWA HAWATUMII MAJI HAYO, NA KULALA MIKA KUWA HATA KAMA MAJI YANATOKA NI KIDOGO SANA USIKU WA MANANE. HATA HIVYO MUDA HUU BAADHI YA VIONGOZI WA MTAA WAMEENDA KWA MKURUGENZI WA JIJI KUJUA MUAFAKA HABARI ZAIDI BAADAE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment