Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, July 10, 2011

YANGA YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA KAGAME CASTLE CUP KWA KUIBWAGA SIMBA 1-0 NA MPIRA UMEKWISHA...!!!

Mwali wa Kagame - Castle
Mabingwa wa Kagame - Castle Yanga


MPIRA UMEKWISAHA DAKIKA MOJA ILIYOPITA NA HIVI SASA SHAMRASHAMRA ZA KUIKABIDHI YANGA MWALI ZIMEANZA. NESHNO HAPAKALIKI HASA UPANDE WA YANGA. NI KAMA MARACANA STADIUM KWA NDEREMO NA FASHIFASHI. BAADHI YA MASHABIKI WA SIMBA WANALIA HAPA....
MNYAMA KACHINJWA NA MTU ALIYETOKA KATIKA KIFUNGO CHA MIAKA 3.

WAKATI ZAWADI ZINAANZA KUTOLEWA TAA ZOTE ZINAZIMIKA UWANJANI AMBAPO INAONEKANA HAKUNA STAND-BY GENERATOR.

MGENI RASMI WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO DKT. EMMANUEL NCHIMBI ANALAZIMIA KUTOA ZAWADI NA KOMBE KWA KUTUMIA TAA ZA GARI LA AMBULANCE.


Habari na Picha hisani ya Michuzi Blog

No comments: