Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, July 9, 2011

WAREMBO WA ILALA,TEMEKE NA KINONDONI WAKIWA CLUB SUN SIRRO KATIKA USIKU WA WAREMBO LEO

Warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakipita kwenye zulia jekundu kuingia kwenye Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam kuhudhuria usiku wa warembo hao ulioandaliwa naVodacom Tanzania ambao ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu. 
Mtaalam wa Masuala ya Habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu (Wa pili kushoto) na Afisa Huduma na Bidhaa wa kampuni hiyo Elihuruma Ngowi (kulia) wakishauriana jambo na Mwenyekiti wa kamati ya Miss Kinondoni Boy George (katikati) wakati wa usiku wa   warembo wa Kinondoni, Temeke na Ilala. Vodacom Tanzania ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.

Baadhi warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya Club ya Sun Sirro wakati wa hafla ya usiku warembo wa kanda hizo  ulioandaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa Vodacom Miss Tanzania mwaka huu.

  
Baadhi warembo wa Kanda za Miss Kinondoni, Ilala na Temeke wakicheza muziki ndani ya Club ya Sun Sirro iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam wakati wa hafla ya usiku wa warembo uliondaliwa na Vodacom Tanzania. Kampuni hiyo ndio wadhamini wakuu wa shindano la Vodacom Tanzania mwaka huu.




No comments: