Wanafunzi wa shule ya Msingi Manda wilaya ya Ludewa wakitoka kuokota kuni za kuuza ili kupata fedha za mchango wa mitihani
Wanafunzi wa kike katika shule ya msingi Manda wilaya ya Ludewa ambao wanasubiri kufanya mtihani wa Taifa wa Darasa la saba wakitoka kuokota kuni porini mida ya masomo baada ya kufukuzwa kwa kushindwa kulipa mchango wa shilingi 600 ili wapate kufanya mitihani ya kujipima ya kata mzigo wa kuni kama huu wamekuwa wakiuuza kwa kiasi cha shilingi 100 kwa walimu wao
Afisa elimu wa wilaya ya Ludewa Bw.Yella akiwahoji wanafunzi shule ya msingi Manda ambao walikutwa wakitoka kuvua samaki wakati wa masomo baada ya kufukuzwa na walimu kwa kushindwa kulipa mchango wa shilingi 600 wa mtihani wa kata
Na Mwandishi Francis Godwin
2 comments:
haya ndo mambo ya kufuatilia na kuyafikisha ndani ya jengo la bunge. sasa wakati watoto wanageuzwa vijakazi na walimu wao, mbunge wa jimbo lao mh. filikunjombe yupo bize kulumbana na wabunge wa chadema huko mjengoni, tena nje ya mjengo. anasahau hata kilichompeleka pale. hii ni akili au matope??? poleni sana wanangu, ndo nchi yetu hiyo na miaka 50 ya uhuru.

Post a Comment