Washiriki wa Shindan la Vodacom Miss Vyuo Vikuu, wakipita mbele ya watazamaji huku wakiwa wamevaa vazi la kuogelea, Shindano hilo lililifanyika mwenyesho mwa wiki mjini Dodoma.
Washiriki wa Vodacom miss vyuo vikuu wakipozi kwenye picha baada ya kumaliza kuonyesha mavazi mbalimbali katika shindanohilo, hapa wakisubili tano bora.
Warembo tano bora katika Shindano la vodacom miss vyuo vikuu.
Vodacom Miss vyuo vikuu 20011 Glori Loli, akiwapungia mkono watazamaji baada ya kutangazwa mshindi.
Vodacom Miss vyuo vikuu Glori Loli, akiwa na washindi wenzake Estol Gerald (kushoto) na Wema Mwanga, mshindi wa tatu.
Vodacom miss Vyuo Vikuu Gloli Loli, akipanguswa macho na mshindi namba tatu Ester Gerad, aliposhindwa kujizuia kwa furaha ya ushindi.
Mgeni rasmi katika Shindano hilo Mbunge wa Mchinga, Said Mtanda, akimkabidha kitita cha zawadi cha laki 7 fedha taslimu mshindi wa tatu katika shindano hilo
No comments:
Post a Comment