Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 8, 2011

Tembelea Duka la Coster Phone Lililopo Uwanja wa Sokoine Mbeya


Mmiliki wa Duka hilo Bwana Coster  akiwa anangojea wateja kwa hamu
==========
Mbeya Yetu Blog bado inaendelea kufanya Jitihada ya kuwaletea maduka mbali mbali ambayo yalikuwa yamevunjwa pale Uhindini na Kuamishiwa makao mapya kando na Uwanja wa Sokoine endelea kufuatilia kujua duka lili lipo sehemu gani

No comments: