Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Friday, July 15, 2011

Taswira Za Waziri Mkuu Mizengo Pinda Akiwa Bungeni Mjini Dodoma

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma jana


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kizungumza na Mbunge wa Ilala Azan Zungu kwenye jengo la utawala la Bunge Mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana,Dr.Grand Sapara,Ofisini kwake, Bungeni Mjini Dodoma jana
Waziri Mkuu, Mizengo PInda akizungumza na Ujumbi kutoka Taasisi ya Hifadhi ya Jamii ya Ghana, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Julai jana.Kulia kwake ni Waziri wa Kazi na Ajira ,Gaudencia Kabka.
Picha na Ofisi Ya Waziri Mkuu
Habari kwa hisani ya Haki ngowi


No comments: