Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, July 7, 2011

Tamasha la Street Katate Lafana .. Kamera yetu ilishuhudia Live

Kushoto ni Mwandishi wetu Fredy Tony Njeje Ms. Lee kutoka China na Hanif Kutoka Iran
Tuna Show some Love Kabla ya Tukio

Hapa watu kibao wanangojea mpambano
Nipo Tayari kabisa kwa kufuatilia tukio hilo
Jamaa akiwa katika utangulizi kabla ya tukio kuanza
Kamera kibao zilikuwepo eneo hilo kuhakikisha kila tukio linachukuliwa sawa sawa
Mtangazaji wa shindano hilo akitoa taarifa kwa Lugha ya Kichina kwamba shindano linaelekea kuanza
Kamera zinawekwa sawa muda mchache kabla ya Mtenange huo kuanza
Majaji nao wapo Tayari kabisa kufuatilia tukio hilo
Picha zilizo pita hapo juu zinaonesha jinsi Mpambano huo ulivyo kuwa
Hapa ilikua ni Baada ya mpambano huo kwisha
Kijana aliye upande wa kulia ndie alie ibuka kidedea katika mpambano huo
Baada ya Tukio sasa tunaelekea mtaani 






No comments: