Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, July 17, 2011

Silaha iliyotumika Kupora Fedha Benki Ya NMB Mkoani Mbeya

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Advocate Nyombi akionesha silaha aina ya SMG yenye magazine 2 za AK 47 moja ikiwa na risasi 40 na SMG yenye risasi 35 ambayo ilitumika kupora jumla ya shilingi 149,722,150 za Benki ya NMB wilayani Kyela mkoani Mbeya.
Picha na Mdau Mkwinda


1 comment:

Anonymous said...

haya tena majambazi wanapora benki na viongozi wanapora kwa ufisadi nini kitabaki?hakuna mwenye uchungu wa mali ya ummma,polisi nao dili kama hizo ni zao.