Mkuu wa mkoa wa Mbeya akifafanua jambo kwenye mkutano huo na madereva |
Uongozi wa madereva pamoja na mkuu wa mkoa katikati na kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Mbozi wakisikiliza jambo kutoka kwa madereva hao |
Kamanda wa polisi wilaya ya Mbozi Afande Ernest Dudu akizungumzia utaratibu Trafiki kukagua magari hayo tu pale yanapokuwa mizani. |
Hapa viongozi wa madereva biashara ikawakata hivi hivi pale hoja yao ilipokumbana na upinzani wa wale wanaowaongoza |
Hapa Mwakipesile kakasirika baada ya kukutana na maswali mengine yanayoonyesha kutokukubaliana na yale wanayoshauriwa! |
No comments:
Post a Comment