Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 11, 2011

MAONESHO YA MAVAZI YA MTANZANIA UINGEREZA

Mtangazaji na Modo Jestina akionyesha mitindo ya mavazi kutoka kwa mbunifu Anna Lukindo na pichani juu ni mamodo wa Anna katika pozi

Maonyesho ya mavazi yakiendelea
MC akitoa matangazo
Mama Balozi na staff wa Ubalozi nao walitokea kumsupport Mtanzania mwenzao
Kutoka kushoto: Marium Kilumanga, Jestina George, Anna Shelukindo na mdau wakila pozi
Sheikh akimpa hongera Ann pamoja na Naibu balozi Chabaka
SALAM,
Mtanzania mbunifu wa mitindo ya nguo, Anna Lukindo, ametikisa ulimwengu wa fashion jijini london wikiendi iliopita. Anna alionyesha mavazi aliyobuni kwenye maonyesho ya La Geneve North Event, yaliyofanyika London siku ya Ijumaa tarehe 8.7.11 Ubunifu wa Anna ulipokelewa kwa vifijo na nderemo kwani ulikuwa ndio uliotia fora.

Kulikuwa na wabunifu wengine kumi, lakini Anna ndiye alikuwa mwafrika na Mtanzania pekee ambaye mavazi yake yalikubalika na kupendwa na watu wengi zaidi.

Mojawapo ya wageni na wadau mbalimbali walijjitokeza kumpa sapoti Anna ni Mh. Balozi wetu Peter Kallaghe na Mama Balozi, Naibu Balozi Chabaka Kilumanga pamoja na watanzania wengine.

Kwa niaba ya URBAN PULSE, tunapenda Kumpongeza Dada yetu Anna Na Kumtakia kila la kheri pamoja na Mafaniko Mema.

Kwa mawasiliano zaidi na Anna tembelea
Kwa mawasiliano zaidi na Anna tembelea


Pr/Media:Pauladpope@yahoo.co.uk
Twitter:@AnnaLukindo

imeletwa kwenu na:

URBAN PULSE CREATIVE
Urbanpulsecreative@googlemail.com

1 comment:

Anonymous said...

Safi Sana...... Hongera !!!!!!