Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Monday, July 11, 2011

Mama Salma Kikwete Azindua Hassan Maajar Trust Jijini Dar es Salaam na Kukutana na Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Western Oregon

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia)akizindua Nembo ya (HMT)kwaajili ya uzinduzi ya Taasisi ya Hassan Maajar Trust na kuanzisha kampeni ya kusaidia kutokomeza uhaba wa madawati mashuleni jijini Dar es Salaam leo(kushoto)ni Makamu Mwenyekiti wa Taasisis hiyo,Shariff Hassan Maajar ,akifuatiwa na Mwenyekiti wa HMT Balozi Mwanaidi Maajar
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kulia)leo akibadilishana mawazo na Seneta JACKIE WINTERS kutoka Marekani(kushoto)alipomtembelea ofisini kwake jijii Dae re Salaam.
Baadhi ya wageni walikwa katika hafla hiyo ya uzinduzi.
Wageni waalikwa washiriki katika uzinduzi wa Hassan Maajaar Trust.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi ya Amani DSM,Eliwaza Shirima,akichangia kwenye mkutano.
Mama Salma Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na viongozi.(mwenye miwani) pamoja na Seneta Jackie Winters (nguo nyeupe) kutoka Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Western Oregon pamoja na walimu wao wakati walipomtembelea Mwenyekiti huyo ofisini kwake jijini Dar es Salam leo. Wanafunzi hao wanane watatembelea Mkoani Arusha katika baadhi ya vijiji vya Masai ambapo watashiriki katika kazi za kujutolea za shughuli za kijamii.
Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO



No comments: