Mkurugenzi Mtendaji wa Tone Multimedia Company Limited
Ndugu Luseshelo Anthony Njeje
Kwa niaba ya Timu nzima ya Tone Multimedia Company Limited ambao ni pamoja na Mtwangamatanana Victor Luvenna,Sillah Mbuya,Joseph Mwaisango na Fredy Anthony Njeje wamiliki wa Tone Internet Radio
Mbeya yetu Blog na Kona ya Matukio Blog na wapenzi wote wa Blog zetu na Radio tunapenda kumpa Hongera sana kwa Mkurugenzi wetu ambae anakumbuka siku yake ya kuzaliwa leo, Mungu akupe maisha Marefu na pia uongeze bidii zaidi katika kazi.One Love
No comments:
Post a Comment