| Baadhi ya wafanykazi TBL nafamilia zao wakiingia viwanja vya ifisi Mbalizi mbeya |
| Baadhi ya wafanyakazi wa TBL katika picha ya pamoja |
| Michezo mbali mbali ilikuwepo mojawapo ya kuvuta kamba |
| Watoto kukimbia huku wamevaa magunia |
| Dada akionyesha umahili wake wa kupiga danadana |
| Wafanyakazi wakisakata rumba |
| Mazoezi ya viungo pia yalikuwepo |
| Mashindano ya kufukuza kuku |
| Alaji hiyoooo |
Watoto Wakiwa wanafurahia sikukuu
| Michezo mbalimbali ya watoto ilikuwepo |
Haya sasa ile watu wanasema Tingisha sasa Imekwisha
Wadau wakiwa wamejiachia kwa nafasi
No comments:
Post a Comment