Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Thursday, June 9, 2011

Wito kwa Mara ya Mwisho Kwa Wasanii,Sauti za Busara 2012 (Huu ni muda wa madaha wa Sauti za Busara)

Black Roots
Orchestre Poly Rythmo de Cotonou Benin
Christine Sale
Bi Kidude
Makame Faki
Mlimani Park Orchestra
Sinachuki Kidumbak Zanzibar
Sukiafrica Sukiyaki Allstars Pan Africa Far East
Jahazi Modern Taarab
--
Wito kwa wasanii wa kiafrika kutoka popote pale walipo duniani. Jopo la uchaguzi wa wasanii litakutana mwezi wa nane ili kupanga mpangilio wa wasanii kwa ajili ya Tamasha la Sauti za Busara 2012. Kwa kujali maombi yako tunahitaji kopi ya nakala zako moja au mbili za hivi karibuni(CD au DVD),Maelezo mengine. Omba sasa muda wowote kabla 31 Julai 2011



Busara Promotions


PO Box 3635


Stone Town


Zanzibar, Tanzania
Tunapatikana njia ya uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club
Tel: +255 24 223 2423


or +255 773 822 294
Habari kwa hisani ya Haki Ngowi Blog


No comments: