Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 18, 2011

Vodacom Miss Chang’ombe 2011 ni Cynthia Kimasha !


Vodacom Miss Chang’ombe Cynthia Kimasha katikati akiwa na mshindi wa pili Husna Twalbu(kushoto) na mshindi watatu Joyce Maweda kwenye shindano hilo lililofanyika kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.
Mrembo Ummy Mohamed aliyeshiriki katika shindano laVodacom Miss Chang’ombe akipita jukwani na vazi la jioni, shindano hilo lilifanyika hapo jana katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares salaam.
 Warembo tano bora waliotinga katika kinyanganyiro cha Vodacom Miss Chang’ombe,shindano hilo lilifanyika hapo jana katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.
Baadhi ya warembo walioshiriki katika shindano la Vodacom Miss Tanzania 2010,kutoka kushoto Bahati Chando,Salma Mwakalukwa na Consolatha Lukosi wakipozi katika picha kwenye shindano la kumtafuta Vodacom Miss Chang’ombe 2011 ambapo Cyntha Kimasha alinyakua taji hilo,hapo jana katika viwanja vya TCC jijini Dares Salaam
Mtaalam wa mambo ya habari wa Vodacom Tanzania Matina Nkurlu kushoto,Mdau wa mambo ya urembo Rachel Sindbird,Rahma Kaude na Afisa udhamini wa Vodacom Tanzania Ibrahim Kaude wakifatilia shindano la Vodacom Miss Chang’ombe hapo jana ambapo Cynthia Kimasha alinyakua taji hilo,shindano hilo lilifanyika katika viwanja vya TCC Chang’ombe jijini Dares Salaam.

No comments: