SHAGGY ATINGA SALAMA NDANI YA MWANZA TAYARI WA SERENGETI FIESTA 2011
Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers, Jaji Mark Bomani, akimkaribisha Mwanamuziki Shaggy kutoka nchini Marekani wakati alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza, tayari kwa onyesho lake kabambe litakalofanyika katika tamasha la Msimu wa Dhahabu na Serengeti Fiesta 2011 katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza Kesho.
Mwanamuziki Shaggy akiwa na warembo mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
Mwanamuziki Shaggy akiwa na warembo mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
Mwanamuziki Shaggy akiwa na warembo mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
Mwanamuziki Shaggy akiwa amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
Wapiga vyombo wa Shaggy akiwa na warembo mara alipowasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
Wanamuziki walioongozana na Shaggy wakiwasili ndani ya Mwanza.
Mwanadada Sasha akiwa amewasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza leo.
No comments:
Post a Comment