Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, June 12, 2011

SALAM KUTOKA NKOROMO DAILY BLOG

Mdau, blogu ya jamii iliyokuwa ya Chachandu Daily sasa itajulikana kwa jina la 'Nkoromo Daily Blog' .
Mabadiliko haya  ni maboresho tu kutokana na maoni ya wadau wenzako wengi. Hata hivyo maudhui na uhabarishaji wa kukupa habari muhimu za kijamii, kisiasa, Biashara, Burudani na michezo na mazaga-zaga yote lakini yasiyochafua hali ya hewa yatabaki yaleyale.
Kuperuzi bofya:

No comments: