Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 18, 2011

ROSE MSUYA AWA VODACOM MISS DAR INTER COLLEGE 2011



Miss Dar Inter College 2011,Rose Msuya akiwa katika pozz mara baara ya kunyakua taji hilo usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Afisa Huduma na Bidhaa wa Vodacom Tanzania,Elihuruma Ngowi akikabidhi zawadi kwa Miss Vodacom Dar Inter College 2011,Rose Msuya kutoka Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) usiku huu katika ukumbi wa Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Mkuu wa Itifaki wa Kamati ya Miss Tanzania,Albert Makoye akikabidhi zawadi kwa Mshindi wa Nne,Elizabeth Aloyce.
Jaji Mkuu wa Mashindano hayo,Aidan Rocco akitangaza washindi.
Watazamaji nao walikuwa wako makini ili kumchagua yule wamtakao.
Wakubwa,toka kulia ni Mkuu wa Itifaki wa Kamti ya Miss Tanzania,Albert Makoye,Mkurugenzi Mkuu wa Miss Tanzania,Hashim Lundenga pamoja na Hassan Hasanoo wa Friends of Simba wakibadilishana mawazo usiku huu ndani ya ukumbi wa Club Sun Cirro,Sinza jijini Dar.
Wadau.
Waratibu wakifatilia mashindano.
Source: Michuzi Blog

No comments: