Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Tuesday, June 7, 2011

Rais wa zanzibar aagana na Madakatari wa China ikulu zanzibar leo.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati)akiwa katika picha ya pamoja na madaktari wa kichina waliomaliza muda wao wa kazi hapa nchini,walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Madakatari kutoka China waliomaliza muda wao wa kazi hapa Nchini,walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na kiongozi wa Ujumbe wa Madakatari kutoka China waliomaliza muda wao wa kazi hapa Nchini,Xiang Jim,(kushoto) na Balozi Mdogo wa Cina anayishi Zanzibar Chen Yiman, walipofika kumuaga Rais Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Habari kwa Hisani ya Jiachie Blog

No comments: