Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Sunday, June 19, 2011

Oliver Mutukuzi na Mrisho Mpoti wanogesha tamasha la ZIFF



Mwanamuziki wa Kimataifa tona nchini Zimbabwe,Oliver Mutukuzi akiimba moja ya nyimbo zake katika Tamasha la Filamu Zanzibar (ZIFF),lililofunguliwa rasmi usiku wa kuamkia leo katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.
Oliver Mutukuzi akionyesha umahiri wake wa kulicharaza gitaa wakati wa Tamasha la Filamu Zanzibar (ZIFF) usiku wa kuamkia leo.
Mwanamuziki wa Muziki wa Asili nchini,Mrisho Mpoto akienda sambamba na Mkongwe Oliver Mutukuzi wakati wa Tamasha la ZIFF linaloendelea katika viwanja vya Ngome Kongwe,Zanzibar.
Mrisho Mpoto na Ismaeel wa Mjomba Band wakiimba moja ya nyimbo zao.
Vijana wa Kundi la B six wa visiwani Zanzibar wakipnyesha umahiri wao wa kuchemza mbele ya umati mkubwa uliofika Ngome Kongwe kushuhudia ufunguzi wa Tamasha la Filamu Zanzibar.
Wageni toka kila kona ya dunia wakiwa katika Tamasha la Filamu Zanzibar.
Habari kwa hisani ya Issa Michuzi Blog

No comments: