Social Icons

Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com

bre

Saturday, June 18, 2011

MSANII DIAMOND AREKODI NYIMBO MPYA NAPOLI-ITALY.

Diamond pichani akiwa studio aliwasili Italy siku ya jumatano na kuanza kazi moja kwa moja katika studio za SEE RECORDS iliyopo Napoli
----
Mkurugenzi wa SEE RECORDS ndugu Salim A. alisema anawakaribisha wasanii wote wa Kitanzania hasa wa Bongo Flava kufanya kazi na SEE RECORDS, na kuwa kila mwaka watachaguliwa wasanii wawili ambao watapewa nafasi ya kurekodi nyimbo moja na video kwa gharama za SEE RECORDS hii ni kwa ajili kuwapa nafasi zaidi wasanii wa Kitanzania kuonekana kimataifa .Diamond ni msanii wa kwanza katika mpango huo.
Diamond ambae anaondoka leo kuelekea Ugiriki Athens ambako anaendelea na show baada ya Sweden na Holland anategemea kurudi tena mwezi Agosti mjini Napoli kwa ajili ya kutengeneza video ya nyimbo hiyo inayotwa KIZAIZAI.
SEE RECORDS.

No comments: