Urban pulse imepata Fursa ya kuongea na Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh John Cheyo na mbunge wa Ilala Mh Mussa Zungu kuhusu Mtazamo wa Serikali juu ya kesi ya Rada kutoka BAE Systems. Mahojiano haya yalifanywa na Jestina George akishirikiana na URBAN PULSE.
Asante
URBAN PULSE CREATIVE
Kwa hisani ya Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment